Thursday, January 02, 2014

MATUKIO YA MAMBO YA RUZINGA DAY

 Bw. Kalisa mwakilishi wa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi.
 Wadau wa maendeleo katika wilaya ya Misenyi, Bw. Frank Kulia na Joel Kushoto.

 Ruzinga  day utawaliwa na michezo mbaliambali hapa ni mambo ya kuvuta kamba


 Mmoja wa wadau wa kata ya Ruzinga, Bw. Kazaula kulia.
 Diwani wa kata ya Ruzinga Bw. Kamala.

No comments:

Post a Comment