Friday, April 04, 2014

FRANK USO KWA USO NA RAIS JAKAYA KIKWETE

Jana nilipata bahati ya kushiriki dinner aliyoiandaa mh rais alipokutana na viongozi wa watanzania wanaoishi ubelgiji. dinner hii ilifanyika katika hotel ya sheraton, brussels. hizo picha ni mdau frank theobald theodory anaesoma PhD yake chuo kikuu cha bonn ujerumani akiwa na mh rais na mama salma.
thanx

No comments:

Post a Comment