Wednesday, May 07, 2014

RAIS KIKWETE AWASILI NIGERIA

  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria  Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maafisa mbalimbali wa Tanzania na Nigeria jijini Abuja, Nigeria, usiku wa Mei 6, 2014 ambako atahudhuria Mkutano wa siku 3 wa Uchumi Duniani kuhusu Afrika (World Economic Forum for Africa).


No comments:

Post a Comment