Thursday, August 28, 2014

UZINDUZI WA MPANGO WA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA KATI YA NCHI ZA TANZAIA NA BURUNDI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi wakati wa sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa.
 Wasanii wa ngoma ya utamaduni kutoka Burundi wakiburudisha kwenye sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa.
 Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na baadhi ya Watanzania walikuwepo  eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi katika picha ya kumbukumbu na wataalamu wa Tanzania na Burundi eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare  kwa upande wa Burundi kuhudhuria  sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa.

No comments:

Post a Comment