Tuesday, December 02, 2014

MAMBO YAMAHAFALI HAYO!

Mambo ya Audax Mutiganzi mwandishi maarufu wa kituo cha CLOUDS TV na RADIO mkoani Kagera ya kuhitimu shahada yake ya sayansi ya jamii juu ya mawasiliano ya umma yaani BA Mass Communication iliyotolewa na chuo kikuu huria nchini, mahafali yalifanyika viwanja vya Bungo Kibaha yanapojengwa makao makuu ya chuo hicho.

No comments:

Post a Comment