Wednesday, January 07, 2015

WAZIRI MKUU JIMBONI KWAKE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanawake wa  Nsimbo wakati alipowasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhar akiwa katika ziara ya jimbi lake la uchaguzi Januari7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea  silaha za jadi, upinde, mishale na usinga kutoka kwa  Machifu wa kabila la Wakonongo  katika mji wa Inyonga wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment