Tuesday, March 03, 2015

Rais Kikwete aongoza mazishi ya marehemu Kapteni john Komba

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka
udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu
Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka
shada la maua katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi
marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa ,Mkoani Ruvuma.

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo
akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi
marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake
yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma
leo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment