Tuesday, March 10, 2015

WAZIRI MKUU PINDA JIJINI DAR

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Kuwait nchini, Mhe Jaseem Al Najem kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) 


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Makamu wa Rais wa  Kampuni ya Contractus ya Poland, Bw. Witold Kartzewski (wapili kulia) na watendaji wa kampuni hiyo, Daniel Junusz (kulia) na Honorata Musloviska Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi9, 2015. Kampuni hiyo pamoja na mambo mengine bingwa katika  ujenzi wa vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa kuhifadhi tani nyingi za nafaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment