Friday, April 10, 2015

KINARA WA MAUAJI YA KUWATAKA WATU KWA MAPANGA NA KUWANYONYA DAMU AUWAWA NA MGANGA ANAYEWAZINDIKA MBARONI


 Huyu ndiye mganga wa jadi ambaye anatuhumiwa kuwapa kinga makoromeo ni mwenyeji wa kijiji cha Ibosa.


 Hizi ni baadhi ya tunguli na madawa yaliyokuwa yakitumiwa na wakata makoromeo kama kinga.

 Baadhi ya waandishi  wa habari wakipata taarifa juu ya waliokamatwa kwa tuhuma ya kukata makoromeo.
 Afisa upelelezi wa mkoa wa Kagera Gilles Muroto akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwaibambe.
 Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera. Henry Mwaibambe akionyesha mazindiko yaliyokuwa yakitolewa na mganga wa jadi aliyekamatwa na jeshi hilo yaliyokuwa yakitumiwa na wakata maromeo kama kinga.
Mzee Omary Habib aliyenusurika kukatwa koromeo.

No comments:

Post a Comment