Wednesday, April 08, 2015

MAMBO YA SIKUKUU YA PASAKA

Ma Erenestina Mwesiga akiwa ndani ya beach ya Spice iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
Kushoto ni Margareth Mwesiga mmoja wa wamiliki wa mtandao huu wa kijamii.
Dr Kengoma na familia yake ndani ya hoteli ya Coffee.
Ayesiga Rugalabamu na Ivan Rugalabamu ni watoto wa wamiliki wa mtadao huu.

No comments:

Post a Comment