Monday, May 11, 2015

WAZIRI MKUU PINDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mjane wa baba wa Taifa , Mama Maria Nyerere wakati alipotoa heshima za mwisho kwa mtoto wa Baba wa Taifa, marehemu  John  Nyerere Kushoto ni Makongoro Nyerere na Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana naWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma  Machi 11, 2015  kwa ajili ya kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Machi 12, 2015.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mzee wa Kihadzabe, Mandona katika maonyesho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Mei 11, 1015. Kulia ni Bibi Agnes Israel.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment