Wednesday, June 03, 2015

MKUU WA KANISA LA KIINJILI LA KIRUTHERI TANZANIA DR. ALEX MALASUSA AWEKA JIWE LA UJENZI WA VYUMBA VYA MAABARA KATIKA SHULE YA BWENI YA WASICHANA YA JOSIAH

Jengo la utawala la shule ya sekondari ya  bweni ya wasishana ya Josiah iliyoko katika manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.
 Sehemu ya vyumba vya madarasa.


 Sehemu ya mandhari ya shule ya Josiah.
 Mkuu wa Kanisa Dr Alex Malasusa akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika  shule ya josiah kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la maabara, katikati ni mmoja wa walezi wa vijana katika shule hiyo, Elias Mashasi na kushoto ni mchungaji wa KKKT jimbo la shinyanga Emmanuel Makala.
 Baadhi ya wanafunzi katika shule hiyo wakimpa maelezo Askofu Malasusa jinsi wanavyopata elimu kwa njia ya teknologia mpya, hapa wanaeleza TABLETS zinavyotoa elimu inayoendana na karne ya sasa.

 Askofu Dr Malasusa akisikiliza kwa makini maelezo yanayotolewa na wanafunzi juu ya namna wanavyopata elimu kwa njia ya TABLETS.
 Askofu Dr. Malasusa akihitimisha zoezi la kuweka jiwe la msingi katika jengo la vyumba vya maabara katika shule hiyo,, jengo hilo litakuwa na maabara za Fizikia, Kemia na Biologia.

Jengo hilo litagharimu zaidi ya shilingi milioni 126.7 na litamalizika mwezi Octoba mwaka huu.
 Ruge Masabala mmoja wa waendeshaji  wa shule ya Josiah akimuongoza Dr Masalula hadi kwenye ukumbi wa shule hiyo.
 Dr Malasusa akipokea zawadi maalumu iliyotolewa kwake na uongozi wa shule hiyo.
 Mzee Masabala mmoja wa wakurugenzi wa shule hiyo akiongea wakati wa hafla fupi ya uwekaji wa jiwe la msingi.


 Baadhi ya walimu na watenda kazi katika shule hiyo.
 Dr. Fidolin Mwombeki kushoto ni mmoja wa waliohudhuria hafla hiyo.
N

No comments:

Post a Comment